Wagombea wa ngazi ya Urais wapewe medical form kuepuka sintofahamu

Wagombea wa ngazi ya Urais wapewe medical form kuepuka sintofahamu

Paf

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2021
Posts
1,703
Reaction score
3,307
Mwaka 2015 tulikuwa na uchaguzi mkuu wa viongozi wakisiasa.

Miongoni mwa wanasiasa waliogombea nafasi ya urais walinenwa kuwa ni wagonjwa hadi wakachafuana kwa matusi kuwa wanajichafua wakiwa majukwani.

Binafsi niliona nisiasa zisizo na heshima pia ushahidi wowote. Ikiwa mwanafunzi hujaza form ya medical results anapojiunga na shule/chuo. Itakuwa heshima pia kwa wagombea wetu mahela apokee form hiyo ikiwa imepitishwa na chama cha Mgombea.

Kwani wengine walionekana wakila PUSHUP kuonesha UIMARA wakimwili,kiakili na kimajukumu.

Nilitafakari yaliyojiri,

Natafakari yaliyotokea,

Nitatafakari kama hatutakuwa na kipengele cha MEDICAL FORM kwa wagombea ngazi za juu.

Nini maoni yako
 
Sasa si kapigwa kipapai na wewe ....!!
 
Tanzania hatuna msingi wa kujua tunataka nini. Hili ni swala nyeti lakini muda ukifka tunafumaba mboni Watanzania tudai katiba mpya ndio mwarobaini wa yote yanayo siginwa.
 
Back
Top Bottom