Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imewateua Muttamwega Mgaywa kuwa Mgombea wa Urais na Satia Musa kuwa Mgombea Mwenza kwa tiketi ya Chama Cha Sauti ya Umma (SAU)
NEC imeidhinisha wagombea kutoka vyama vitatu vya siasa ambavyo ni CCM, NRA, ADA-TADEA hadi sasa