Asee wagonga ulimbo ( vijana tunaojitafuta) tuyaogope sana mapenzi ..
Nimeshuhudia wagonga ulimbo wengi sana wakishindwa kufikia malengo yao kwa kuendekeza mapenzi .
Mapenzi yanavuruga sana harakati za wagonga ulimbo na yanafilisi vibaya mno
Nitoe rai kwa wagonga ulimbo wote nchini kutochanganya harakati za kigonga ulimbo na mapenzi kwani ni hatari sana hususani kwa wahehe wanaweza wakajinyonga saa yeyote
NB:Mapenzi usiyape kipaumbele katik harakati za ugonga ulimbo