#COVID19 Wagonjwa 21 wa COVID19 waongezeka huku 7 kati yao wakiwa ni Watanzania

#COVID19 Wagonjwa 21 wa COVID19 waongezeka huku 7 kati yao wakiwa ni Watanzania

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Visa ya #COVID19 nchini Uganda vimefikia 160 baada ya visa vipya 21 kutangazwa jana kufuatia sampuli 1,896 kupimwa hapo jana

Kati ya sampuli hizo, 1,593 ni madereva wa malori na 303 ni sampuli kutoka katika jamii za Watu wa Uganda. Wagonjwa wapya wote ni madereva wa Malori

Kati ya Wagonjwa hao wapya, 8 ni Wakenya, 7 ni Watanzania, 5 ni Waganda na mmoja anatokea Sudan Kusini. Waliingia Uganda kupitia mipaka ya Mutukula, Busia na Elegu

Aidha, Wizara ya Afya nchini humo imetangaza kuwa wagonjwa 63 wamepona tangu kulipuka kwa #COVID19 nchini humo
 
𝗧𝗮𝘁𝗶𝘇𝗼 𝗵𝗮𝗼 𝗺𝗮𝗱𝗲𝗿𝗲𝘃𝗮 𝘄𝗮 𝗺𝗮𝗹𝗼𝗿𝗶 𝘄𝗮𝗻𝗮𝗲𝗻𝗱𝗮 𝗸𝘂𝗽𝗶𝗺𝘄𝗮 𝗵𝘂𝗸𝘂 𝘄𝗮𝗻𝗮𝗻𝘂𝗸𝗶𝗮 𝗼𝗶𝗹, 𝗽𝗶𝗮 𝘄𝗮𝘀𝗶𝗽𝗲𝗻𝗱𝗲𝗹𝗲𝗲 𝘀𝗮𝗻𝗮 𝗸𝘂𝗹𝗮 𝗺𝗮𝗽𝗮𝗽𝗮𝗶 𝗻𝗮 𝗺𝗮𝗳𝗲𝗻𝗲𝘀𝗶 𝘄𝗮𝗸𝗶𝘁𝗮𝗸𝗮 𝗸𝘄𝗲𝗻𝗱𝗮 𝗨𝗴𝗮𝗻𝗱𝗮
 
Tanzania inasambaza ugonjwa kwa majirani.
 
𝗧𝗮𝘁𝗶𝘇𝗼 𝗵𝗮𝗼 𝗺𝗮𝗱𝗲𝗿𝗲𝘃𝗮 𝘄𝗮 𝗺𝗮𝗹𝗼𝗿𝗶 𝘄𝗮𝗻𝗮𝗲𝗻𝗱𝗮 𝗸𝘂𝗽𝗶𝗺𝘄𝗮 𝗵𝘂𝗸𝘂 𝘄𝗮𝗻𝗮𝗻𝘂𝗸𝗶𝗮 𝗼𝗶𝗹, 𝗽𝗶𝗮 𝘄𝗮𝘀𝗶𝗽𝗲𝗻𝗱𝗲𝗹𝗲𝗲 𝘀𝗮𝗻𝗮 𝗸𝘂𝗹𝗮 𝗺𝗮𝗽𝗮𝗽𝗮𝗶 𝗻𝗮 𝗺𝗮𝗳𝗲𝗻𝗲𝘀𝗶 𝘄𝗮𝗸𝗶𝘁𝗮𝗸𝗮 𝗸𝘄𝗲𝗻𝗱𝗮 𝗨𝗴𝗮𝗻𝗱𝗮
Kweli?
 
Back
Top Bottom