#COVID19 Wagonjwa 8 waongezeka Uganda, Jumla ya visa yafikia 665. Watanzania 8 warudishwa nchini

#COVID19 Wagonjwa 8 waongezeka Uganda, Jumla ya visa yafikia 665. Watanzania 8 warudishwa nchini

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Wizara ya Afya imethibitisha Wagonjwa wapya 8 baada ya sampuli 2,423 kupimwa Juni 09, 2020 na kufanya jumla ya Visa nchini humo kufikia 665. Wagonjwa wote wapya ni Waganda

Kati ya Wagonjwa, wanne ni kutoka katika sampuli 1,388 zilizopimwa mipakani na wanne wengine ni kutoka katika sampuli 1,035 zilizopimwa kutoka kwa watu walionesha dalili au waliokutana na Wagonjwa

Hadi kufikia leo Juni 10, Uganda imeripoti jumla ya Wagonjwa 119 waliopona na hakuna kifo hata kimoja cha #COVID19

Aidha, nchi hiyo imewarudisha kwao madereva wa malori 31 waliokutwa na #CoronaVirus. Madereva hao wanatoka Kenya (16), Tanzania (8), Eritrea (5), Burundi (1) na Sudan Kusini (1)

EaIshRvXkAALeht.jpg
 
Uganda wamekosea wapi? Mbona walikuwa wanaenda vizuri.
 
That's a typical stupid Tanganyikan speaking. Biological weapons of Africa.
 
Back
Top Bottom