Gurta
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 2,233
- 532
Sijafanya search yeyote kuona kama hiki ninachokitaka kipo tayari kwenye JF kwa hiyo msinizodoe.
Mimi ni mgonjwa wa kisukari (IDDM -- Insulin Dependent Diabetes Mellitus or Type I), na kulingana na takwimu za Wizara ya Afya na pia WHO, kuna ongezeko kubwa sana la watu wanaopata kisukari katika nchi za Africa pamoja na Asia hasa India.
Kisukari ni hali (condition), sipendi kuutaja kama 'ugonjwa', ambayo ni more or less permanent. Mimi nachoma insulin kwa zaidi ya miaka 10 na daktari wangu amenihakikishia kuwa nitaendelea for very long time to come provided I am still alive! Pamoja na dawa tuzipatazo sisi wagonjwa, tiba pia inahusisha lishe, mazoezi, na sapoti ya jamii inayotuzunguka.
Wazo:
Napendekeza kuanzishwa kwa 'sticky post' or something like that; hii ikiwa mahsusi kwa ajili ya kupeana mbinu, tiba mbadala, elimu, ushauri, teknolojia mpya (mf. dawa, pumps, glucometers, etc.), lishe (diet), n.k. zinazohusiana na ugonjwa wa Kisukari (both Type I & II na hata Insipidus).
Nakaribisha mawazo na maoni.
PS: Wao la kuhudhuria kliniki nalifahamu ila kwa hali ya nchi yetu TZA bado iko at very basic level. Pia upungufu wa wataalamu (nutritionists, diabetic educators, etc.) na hosp zinazotoa huduma hii ni chache.