Safari moja yalikomaa, niko kwenye dawati la kazi, uso umenivimba, mwili wa moto, mafua yanachuruzika kama maji, bosi wangu akaniambia... Kasinde nenda nyumbani ukipona ndo uje....
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Jana nilipita sehemu nikamuona mchoma maindi kavaa zake miwani mikubwa meusi (kimoyomoyo nikajiambia atakuwa na red eyes tu huyu). Mara akanyanyua kidogo miwani akaanza kufikicha macho, jicho jekunduuu.
Then akaendelea kuzungusha zungusha maindi bila hata kunawa.
Mungu atusaidie tu kwa kweli, na maisha yetu yalivyo magumu hata kama unaumwa lazima utoke uhangaike!!
Nenda katazame marekani kinachoendelea. Wale wale mashoga waliosema "wanafanya chumbani kwenye faragha zao" siku hizi wanaforce serikali kufundisha watoto ushoga na kujifunza ngono mapema. Au haujasikia maswala ya LGBTQ community and rainbow [emoji304] parades?ushoga wao is none of your business! ni mambo ya chumbani kwao hayakuhusu, tunasema those issues that impact everybody's daily life