Wagonjwa wa UKIMWI na ARVs na Lishe bora ya kurudisha kinga ya mwili

Wagonjwa wa UKIMWI na ARVs na Lishe bora ya kurudisha kinga ya mwili

fasi dwasi

R I P
Joined
Sep 23, 2018
Posts
105
Reaction score
108
Kuna kesi ipo mtaani:

Kuna wagonjwa (mke + mume) wa HIV ambao walishapima tangu miaka 15 iliyopita baada ya kuumwa mara kwa mara magonjwa kama vile fungus, typhoid na maradhi mengine

Baada ya kufahamu kwmba wapo HIV+ hawakuanza kutumia ARVs isipokuwa walifuatilia njia mbadala za kupandisha kinga yao ya mwili esp katika swala zima la misosi na lishe bora, mpaka hivi sasa naongea hapa wanadunda, afya njema saaana kupita kiasi, kuna wagonjwa ambao walitumiaga ARVs na sasa hawapo ila hii couple inadunda 2

SWALI:
Tumeambiwa kwamba UKIMWI ni ukosefu wa kinga mwilini, means mtu anapokuwa na king a hafifu hii hupelekea magonjwa nyemelezi kufika kwa mtu huyo bila kuzuiliwa na kinga ya ndani ya mwili

Pia tumeambia ARVs ndio kitu pekee ambacho mtu mwenye UKIMWI anapaswa kutumia ili kurudisha kinga yake ya mwili ktk mstari na kumfanya mgonjwa aishi kwa matumaini

Je, ni kweli kwmba ARVs ndo kjtu pekee ambacho kinachoweza kupandisha kinga ya mwili ya binadamu?

Vipi kuhusu matumizi ya vile vyakula ambavyo vinaaminika vina uwezo wa kupandisha kinga ya mwili kwa binadamu kwa haraka sana?

Kwanini madaktari huwa hawatoi ushauri wa kutumia hivi vyakula kwa wagonjwa badala ya kumpa hv ARVs tu? zinaangamiza watu bhna hz dawa

Labda wataalamu waje wanielimishe ndani ya ARVs kuna kitu gan ambacho mgonjwa atakikosa endapo mgonjwa huyo ataamua kudeal vyema na kinga yake ya mwili kupitia vyakula tu?
 
Elimu wanapewa kabisa ila pesa ndugu na kumbuka sio wote wana uwezo wa kupata mlo kutwa mara tatu,na Kuna kipind wengne mpaka unawapa pesa mfukoni wakija kuchukua dawa.
 
wapi Deception na Kaveli? huu uzi unahitaji mchango wenu kwa hali na mali.

Bila shaka mleta mada utakuwa bado ni fresh member humu.

Hiki unachokisema kimeshaongelewa sana humu tena kwa uzito wa hali ya juu.

BTW, watumiaji wa ARV wana nafasi kubwa ya kufa kwa mateso kuliko wasiotumia maana ARV ndio UKIMWI wenyewe.

cc: Kaveli
 
Elimu wanapew kabisa ila pesa ndugu na kumbuka sio wote wana uwezo wa kupata mlo kutwa mara tatu,na Kuna kipind wengne mpaka unawapa pesa mfukoni wakija kuchukua dawa.
Elimu ipi hyo?

coz hao Madaktari wetu miongoni mwa wagonjwa wanaowashauri watumie ARVs ni pamoja na hata wale wenyewe uwezo wa kupata mlo kamili endapo tu wakihakikishiwa kwmba ni njia mbadala ya kupandisha kinga za mwili kwao, but kwann huwa hawatoi ushauri mzuri ili kuepukana na madhara yatokanayo na ARVs?

Pia ukiniambia sababu ni kwamba siyo wote wana uwezo wa kupata hii mlo kamili nakataa coz kuna njia nyng 2 za kupandisha kinga ya mwili ambazo ni za bei rahisi mnoo

Kwanini Madaktari msitoe ushauri wa kutumia hizi njia badala ya ARVs?
 
fasi dwasi, Elimu hutolewa kwa wote na bahat nzuri kuna vitabu vya lishe huwa vipo na tunawapa kabisa

Tatizo la kinga kupungua lina changiwa na vitu vingi

Mazoez
Mlo sahihi
Kupumzika kwa wakati
Kupunguza msongo wa mawazo
Kufuata njia sahihi ya kujamiana ili kuepusha maabukiz mapya.nk

Na ukitaka ujue Zaid hudhuria clinic mbalimbali za kuchukua dawa utajua kuwa Kuna watu hawana hata pesa ya kula tu ile ya mlo wa asbh
Usiangalie mjini tu nenda vijijin huko ndio utajua kuwa Ni tabu sana na zile dawa zinanguvu sana na bila kuwa na mlo sahihi lazima zikuchoshe sana.

Na zile community group nying zinakufa sana coz mashirika meng hayatoi misaada ya chakula kama zamani kwahyo sababu Ni nying sana mkuu.
 
abdi ally, Mkuu vipi kwa uono wako kwa miaka hii spidi ya maambukizi imepungua au ndio imeongezeka?maana kwa miaka ya hivi karibuni nimeona zile kampeni za kutoa elimu kuhusu hili zimepungu sana.
 
Mkuu vipi kwa uono wako kwa miaka hii spidi ya maambukizi imepungua au ndio imeongezeka?maana kwa miaka ya hivi karibuni nimeona zile kampeni za kutoa elimu kuhusu hili zimepungu sana.
Hz zipo za kikata,wilaya,mkoa na kitaifa pia kitaifa Ni mujumuiko wa data za taifa zima zinajumlishwa na kuangalia na mwaka uliopita.

Kuna maoneo unakuta yanaongezeka sana na haswa umri 18- 30 hapa Ni tatizo na haya yote siku hz elimu hazipo zile za miaka ya nyuma cinema na vijarida na pia Hawa wafadhili sikuhz wako Ni wachache sana.

Na serikali haina hamasa sana na hayo mambo
 
Hizi mada zimekua nyingi sana
Wacha ziwe nying tu mana serikali haitilii mkazo juu ya maambukizo hayo wako bize na mambo ambayo bila kuwa na afya Bora huwez fanya

Ni hatar saana unakuta kwa kwa siku unapata 4 positive kwa mwez inakuwa ngapi ukitoa wikiend na sikukuu na siku ambazo hupati positive.

Kiuhalisia wanaoumwa wako weng nje kuliko walio katika system ambao wanatumia dawa na ukimuona mtu kaenda kupima ujue kaona dalili,anataka kuoa/olewa au kapita kubaya vingnevyo wanadunda tu
 
Back
Top Bottom