#COVID19 Wagonjwa wapya 9 waongezeka, Uganda ina jumla ya visa 741 vya COVID-19. Madereva wa Kenya, Tanzania na Burundi warudishwa nchini mwao

#COVID19 Wagonjwa wapya 9 waongezeka, Uganda ina jumla ya visa 741 vya COVID-19. Madereva wa Kenya, Tanzania na Burundi warudishwa nchini mwao

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Wizara ya Afya imethibitisha ongezeko la visa vipya 9 vya COVID19 na jumla ya maambukizi nchini humo hivi sasa ni 741

Wagonjwa wapya wote ni Waganda, 4 ni madereva wa malori waliotokea Kenya (2) na Sudani Kusini (2) huku 5 wakiwa watu waliokuwa karibu na wanaougua ugonjwa huo

Mbali na hayo, Uganda imewarudisha nchini kwao madereva 31 kutoka Kenya-24, Tanzania-6 Burundi-1 baada ya kukutwa na Corona

Wagonjwa 442 wamepona na hakuna kifo kilichorekodiwa mpaka sasa

====

1592473032094.png
 
Back
Top Bottom