Wagonjwa wengine 7 wa Covid-19 wagundulika Kenya, idadi yafikia 179

The Sheriff

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2019
Posts
747
Reaction score
2,112
Wagonjwa wengine saba wamegundulika kuwa na Covid -19 nchini Kenya, na kuongeza idadi ya kesi zilizothibitishwa nchini humo kufikia 179.

Katibu Mkuu wa Afya Dk. Mercy Mwangangi, katika mkutano na waandishi wa habari leo Jumatano, amesema watu wote hao 7 ni Wakenya.

Kati yao, wawili walikuwa wamesafiri kutoka Marekani, mmoja kutoka Kongo na mwingine kutoka Uingereza.

======

Seven more patients have tested positive for the coronavirus in Kenya, raising the total number of confirmed COVID-19 cases in the country to 179.

Health Chief Administrative Secretary Dr. Mercy Mwangangi, in a press briefing on Wednesday, said the 7 new cases are all Kenyans.

Out of the seven, two had traveled from the USA, one from Congo and the other from the UK.
In terms of distribution per their counties, five of the cases were tested in Nairobi, one in Mombasa and the other in Uasin Gishu.

“Two of the cases emanated from our mandatory quarantine facilities while five were picked by our surveillance teams,” said Dr. Mwangangi.

The Health Ministry further disclosed that of all the 179 cases, three of them are aged below 15 years, 49 are between 15 — 29 years while 114 of the patients are aged between 30 — 59 years. Those above 60 years are 13


Source: Citizen Tv
 
Ministry also reported that all cases (apart from one) are between mild and moderate, so far 5,278 samples have been tested, and 1,426 discharged so far, 578 under follow-up.
 
Hii ndio faida ya kupima raha hasa ya kupima wagonjwa waongezeke sio kupungua , watu wapo bize na kupima tu sio kuchukua hatua za kukabiliana na huyu kiumbe Corona
Ministry also reported that all cases (apart from one) are between mild and moderate, so far 5,278 samples have been tested, and 1,426 discharged so far, 578 under follow-up.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uganda wamepima 231 hawakupata hata mtu mmoja mwenye maambukizi, hiyo ndio raha ya kupima wagonjwa wengi, sasa wewe kila ukigusa kuna wagonjwa, hujui kwamba hilo ni tatizo kwa hiyo lazima juhudi ziongezwe ili hata ikitokea umepima watu 10,000 kwa mkupuo usipate hata mmoja?

Idadi kubwa ya watu walioambukizwa nchini, maana yake:

1) Idadi kubwa ya maambukizi yapo mitaani
2) 20% ya walioambukizwa watahitaji Huduma za tiba hospitalini
3) 2 - 4% watakufa
4) Shughuli za uchimi zitasimama nchini
5) Taharuki na wasiwasi vinaongezeka



Sent using Jamii Forums mobile app
 
KIUSHAURI BINASFI NINGESHAURI NA SISI PIA TUANZE KUPIMA WATU NYUMBA KWA NYUMBA, HUENDA TUNGEWABAINI AMBAO BADO MARADHI HAYAJALIPUKA TUKAWADHIBITI KITAALAAM. OVA
 
KIUSHAURI BINASFI NINGESHAURI NA SISI PIA TUANZE KUPIMA WATU NYUMBA KWA NYUMBA, HUENDA TUNGEWABAINI AMBAO BADO MARADHI HAYAJALIPUKA TUKAWADHIBITI KITAALAAM. OVA

Hiki kirusi chenywe sio tishio ukikigundua mapema, haswa kama bado kiko kwenye koo kabla hakijashuka kwenye mapafu, fuata video za Youtube za watu wengi waliopona, yaani pale aligundua anacho kabla hakijawa balaa wengi wanakunywa maji ya moto baada ya kila dakika kumi na tano.
Hivyo suluhu ni kupima pima pima, yaani mwendo wa kupima, Kenya imeanza kutengeneza vifaa vya kupima, ina maana tutakua tunapima hata watu laki moja kwa siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…