B.4really
Senior Member
- Jan 30, 2013
- 199
- 89
Namiss ladha nzuri ya aina ya muziki na mashairi yanayoakisi maisha ya mtanzania kutoka kwa makundi haya mawili ya bongofleva,sijui ni nini kimewasibu p'se rudini kwny game kwan kuna vitu fans wenu tunavihitaji chonde chonde..
Nikikumbka nyimbo hizi nahisi kurudi nilikotoka:-
Wagosi wa kaya:-tanga kunani,wauguzi,tajiri na maskini,pole,trafiki huyoo,kibaka kaokoka,taxi driver e.t.c
Joni woka & Ras lion(watukutu):-bitozi,umaskini,yallaah,sophy,wacha nimuoe,nieleze e.t.c
hii ndio ladha ya bongo inayotakiwa, sharobaro's jaribuni kuwasikilza hawa kaka zenu jinsi walivyokuwa wanaumiza vichwa..