Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Habarini za jioni waumini
Mtaani kuna wale jamaa wanakopesha bidhaa hasa kwa wanawake au wake za watu, hawatumii nguvu kudai na wakiambiwa hela hakuna wanaelewa.
Niliona mmoja akiombwa kusamehe deni lililo baki na mke wa mtu, akasema tutaongea vizuri kwenye simu, tafsiri nyepesi ni kwamba alihofia watu kusikia maongezi yao.
Tahadhari... Kama mkeo anadaiwa na Muha muulize na umpe hela amalize deni, la sivyo akiomba kusamehewa na yeye ataombwa jambo.
Ni hayo tu....