Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Hao jamaa wanapita kila nyumbaWewe mwanaume unakuwa wapi mpaka mke wako anaenda kukopa??
Wanatakiwa wakukopeshe wewe, sio mke wakoHao jamaa wanapita kila nyumba
Mimi bado sina Mke, labda wakopeshe watu pamoja na wake zaoWanatakiwa wakukopeshe wewe, sio mke wako
Saivi bado wanazidi kusambaa kona zote, na wanawake wanawapenda sana na wakiwaona tu wanawapa misifa kibao ili tu wawasamehe madeniMbagala walifilisiwa sana na hao wanawake, ila sahv naona wanaongezeka tena, kuna muda walipungua maana walikuja kwa kasi na wakavamia kichwa kichwa wake za watu, wengi walifilisika labda sahv wamejifunza kitu