C Chimilemwiyega Member Joined Jan 31, 2011 Posts 24 Reaction score 8 Feb 2, 2011 #1 Wanajamii mlioko UDOM naomba mtujuze kunani? Mtoto wa mkulima hakumaliza mambo yenu, nae kawafanyia uchakachuaji? Poleni sana.
Wanajamii mlioko UDOM naomba mtujuze kunani? Mtoto wa mkulima hakumaliza mambo yenu, nae kawafanyia uchakachuaji? Poleni sana.