nimeweka majina ya hotel nina uhakika kwani niliongea nao.sitapenda kutaja majina yao mtandaoni kwa usalama wao.tupe majina yao na chanzo cha hbr yako.
alale kwa pesa zake sio kwa pesa za watanzania maskini.kuna shida gani wakilala hoteli?
alale kwa pesa zake sio kwa pesa za watanzania maskini.
nimefanya maongezi na wawili kati yao.mmoja ana vyumba viwili ambavyo vyote viwili ni sh.200000 kwa siku bila gharama za chakula.Umejuaje kama sio hela zao
OTIS
nimefanya maongezi na wawili kati yao.mmoja ana vyumba viwili ambavyo vyote viwili ni sh.200000 kwa siku bila gharama za chakula.
kipi hujaelewa?Kama umefanya nao mazungumzo nakushauri ukamilishe utafiti wako badala ya kutuletea habari nusu nusu
OTIS
sitapenda kutaja majina yao mtandaoni kwa usalama wao.