Wahadhiri wa vyuo vikuu wasitisha mgomo wa mwezi mmoja

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
Wahadhiri wa vyuo vikuu wamesitisha mgomo wao wa mwezi mmoja na wataanza kurudi kazini kuanzia Jumatatu

Wameita hatua yao hiyo kama muafaka baada ya kuona wanafunzi wanaathirika kwa kukosa masomo

Whadhiri hao, awali walikuwa wamesema watarudi kufundisha tu baada ya fedha kuwekwa kwenye akaunti zao za benki

====================================================


University dons on Saturday called off their month-long strike on signing a return to work formula with the Inter-Public Universities Council Consultative Forum (IPUCCF).

They described the move as a “compromise” taken after weighing their rights against those of the affected students.


The dons had stated that they would only call off the strike once a full payout had been deposited into their members’ bank accounts.





Source: Capital Fm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…