Wahadhiri wa vyuo vikuu watangaza kuanza mgomo ifikapo Oktoba 31

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
Wahadhiri wa vyuo vikuu wametoa wametoa tangazo kwa serikali kuwa wataanza mgomo siku 21 zijazo

Hii inamaana mgomo huo utaanza tarehe 31 Oktoba
Katibu mkuu wa Umoja wa Wafanyakazi wa Kitaaluma wa Vyuo Vikuu Constantine Wasonga amesema mgomo wao hautasimama mpaka madai yao ya kulipwa zaidi yatakapotekelezwa
================================

University lecturers have issued a 21-day strike notice to the government.

This means that their strike will start on October 31.

Universities academic staff union (Uasu) Secretary-General Constantine Wasonga, while issuing the notice to 31 public universities, on Tuesday said the job boycott was not stoppable until their demand for higher pay is effected.

“The strike is over the failure by the university councils to implement basic salary and house allowance at the levels provided for under the 2013-2017 CBA and to protest the blatant violations of the university workers fundamental and freedoms under article 41 of the Kenya constitution 2010,” said Dr Wasonga.

The notice is also copied to Education Cabinet Secretary Fred Matiang’i.

In June last year, the government paid the lecturers arrears of Sh10 billion for 2013-2017 CBA but could not continue with the payment of new salary scales citing lack of funds.

That is the money the teaching staff now want sent to their bank accounts.

Source: Daily Nation
 
Umenimalizia bure bando langu la Halichachi. Nilidhani ni bongo wanataaluma wanataka kumjaribu "Hajaribiwi"!
 
Jama niliuliza vyama vya wafanyakazi Tanzania vinafanya kazi gani?
 
kenya ndio nchi pekee africa mashariki ambayo ina wafanyakazi wanaojitambua.. na hata wakiwa kazini huwa wana deliver sana..

rwanda, burundi, uganda, tanzania hawana huo uwezo wa kulinganisha na wakenya..

hata ukimchukua darasa la nane wa kenya aliesoma shule ya serikali.. na form 4 wa tanzania aliyesoma shule ya serikali ukawaambia wajieleze tu.. kwa lugha yeyote.. tofauti itakuwa kubwa sana
 
Huu sasa ni uchochezi.
 
Huu sasa ni uchochezi. Chunga sana wenzako wasije wakakuchinja bure.
 
kenya ndio nchi pekee africa mashariki ambayo ina wafanyakazi wanaojitambua.. na hata wakiwa kazini huwa wana deliver sana..

rwanda, burundi, uganda, tanzania hawana huo uwezo wa kulinganisha na wakenya..

hata ukimchukua darasa la nane wa kenya aliesoma shule ya serikali.. na form 4 wa tanzania aliyesoma shule ya serikali ukawaambia wajieleze tu.. kwa lugha yeyote.. tofauti itakuwa kubwa sana
H

Hamia huko
 
Ahaaaaaa ,nlitaka njiandae na kamasters kangu kwenda kufunfundisha ...maana wasingerudi
 
Wakati wengine manesi wakigoma, wahadhiri pia na madaktari wakitaka mishahara mikubwa zaidi, na huku wakifanya uchaguzi wa rais kwa mwaka mzima, kwa kisingizio cha demokrasia mradi tu kuendana na matakwa ya wazungu,
Sisi huku tunapanua bandari na kujenga Reli ya Kisiasa zaidi Africa mashariki, tunaimarisha Miundombinu ya Barabara, flyovers na interchanges, tunajenga uwanja wetu wa Ndege kuwa mkubwa na wa kisasa zaidi Africa mashariki na Kati, tunajenga barabara za Lami kote mikoani, tunajenga bwawa kubwa la kufua Umeme MW2400 na tunapanua vinu vya kufua Umeme kwa kutumia Gesi yetu asilia pale kinyerezi n.k
Mwisho wa siku heshima tutapeana tu.
 
Back
Top Bottom