Wamaasai hawana maajabu tunapishan nao mjini kila siku wanapanda daradara hata hamna cha kushangaza kwao hadi wawe highlighted katika vivutio vya watalii
Mkuu kama hayo maisha wanayapenda na kuyafurahia na kamwe serkali haijawahi kuwalazimisha kwanini uwaone mbumbumbu ili hali hata sisi tunachokiabudu hatujawahi kukiona heri wao wanakiona daily?