Kulwa Jilala
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 3,891
- 8,448
Wahalifu wote Wana hofu sana kusikia Chalamila anakuja DarPanya Road, vibaka, na wauza madawa ya kulevya pamoja na wavuta shisha wa mkoa wa Dar es Salaam hawatapenda ujio wa mkuu wa mkoa mpya Albert Chalamila kwani hapendi ujinga na hatawavumilia kabisa kwa hiyo wajiandae.
Mitaa ya Ufipa maeneo ya manyanya mateja walikuwa wameanza kumea kwa kasi lakini sasa wajiandae kupukutishwa.
Funguka, umefungafunga comment yakoMkuu Jilala, nimekuwa naunga mkono juhudi na jitihada zako, kwa kukuchangia, kukazia mabandiko yako, n.k.
Lakini leo hii nitakupinga. Utumiaji wa neno "PanyaRoad" na uhakika ujumbe wako ungefika bila hata kutumia msamiati huo, ni offensive. Yaani ni msamiati unaotumiwa na mabaguzi na mabeberu kuwadhalilisha Mwafrika. Sidhani kama ulidhamiria hayo, ila naomba uwaombe mods wakubadilishie na uwaite wahalifu kama mbadala wake.
Tusiwape silaha mahasimu, maharamia, na mabeberu kuendeleza udhalilishaji, unyanyasaji, uzodoaji, na yote yale yaliyo hasi dhidi ya jamii ya Mtanzania.
Aluta Continua
Mkuu unaweza hata edit hiyo? ShukraniWahalifu wote Wana hofu sana kusikia Chalamila anakuja Dar
Tayari mkuuMkuu unaweza hata edit hiyo Panya road kutoka kwenye bandiko)posts ya Jilala. na kuweka Wahalifu
Subiri wakaazi wa ufipa waje 🤣🤣Mitaa ya Ufipa maeneo ya manyanya mateja walikuwa wameanza kumea kwa kasi lakini sasa wajiandae kupukutishwa.
BoraPanya Road, vibaka, na wauza madawa ya kulevya pamoja na wavuta shisha wa mkoa wa Dar es Salaam hawatapenda ujio wa mkuu wa mkoa mpya Albert Chalamila kwani hapendi ujinga na hatawavumilia kabisa kwa hiyo wajiandae.
Mitaa ya Ufipa maeneo ya manyanya mateja walikuwa wameanza kumea kwa kasi lakini sasa wajiandae kupukutishwa.
Unless wawe wanapenda hiyo hali, kinyume na hapo inabidi pasafishwe kuleSubiri wakaazi wa ufipa waje 🤣🤣
Tarajio langu kwake ni kuruhusu biashara masaa 24 (Dar24Hrs). Halafu vimiminika vya TBL na Seringeti viruhusiwe 24hrs pia.Panya Road, vibaka, na wauza madawa ya kulevya pamoja na wavuta shisha wa mkoa wa Dar es Salaam hawatapenda ujio wa mkuu wa mkoa mpya Albert Chalamila kwani hapendi ujinga na hatawavumilia kabisa kwa hiyo wajiandae.
Mitaa ya Ufipa maeneo ya manyanya mateja walikuwa wameanza kumea kwa kasi lakini sasa wajiandae kupukutishwa.
SawaTarajio langu kwake ni kuruhusu biashara masaa 24 (Dar24Hrs). Halafu vimiminika vya TBL na Seringeti viruhusiwe 24hrs pia.
Nimekupata.🤝Tayari mkuu
SawaNimekupata.[emoji1666]
Nikuulize swali mzee wa legacy... Unaweza nambia kuna flyover wapi Nchi hii? Maybe hujui maan ya flyover cz mlikua brainwashed!!! Eti shisha 🤣🤣 huyuhuyu mzee wa kumenya beer??Panya Road, vibaka, na wauza madawa ya kulevya pamoja na wavuta shisha wa mkoa wa Dar es Salaam hawatapenda ujio wa mkuu wa mkoa mpya Albert Chalamila kwani hapendi ujinga na hatawavumilia kabisa kwa hiyo wajiandae.
Mitaa ya Ufipa maeneo ya manyanya mateja walikuwa wameanza kumea kwa kasi lakini sasa wajiandae kupukutishwa.
Miaka miwili ya Rais Samia imepita lakini miradi mingi ya mkoa wa Dares salaam inasuasua ,hakuna flyover hata moja iliyokamilika kwa sababu wakandarasi wa mkoa huu hawasimamiwi vizuri, barabara hazijengwi tena kwa kasi kama ilivyokuwa zamani.