JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Wahamiaji 14 wamefariki Dunia baada ya boti waliyokuwa wakiitumia kushika moto katika Jimbo la Kasamance Nchini Senegal.
Safari yao ilikuwa ni kuelekea Ulaya kupitia Visiwa vya Kanari vya Hispania.
Meya wa Mji wa Kafountine jimboni hapo, David Diatta amesema wamefanikiwa kupata mili 14 baada ya tukio hilo na idadi inaweza kuongezeka, ambapo wahamiaji hao walikuwa raia wa Guinea, Nigeria, Gambia na Senegal.
Mganga Mkuu wa Kafountine, Bourama Faboure amesema watu 21 wamejeruhiwa wakiwemo wanne waliopata majeraha ya moto.
Inaelezwa kuwa boti hiyo ilikuwa imebeba kiasi cha watu 140 na takribani watu 90 kati yao walionusurika walitambuliwa.
===
At least 14 migrants die as boat catches fire in Senegal: officials
At least 14 migrants died when a boat caught fire in south Senegal, a local mayor and a health official told AFP on Tuesday.
"We have been able to recover 14 bodies," David Diatta, the mayor of the coastal town of Kafountine in Casamance, said after the fire on Monday.
"The toll will likely rise," he added.
The town's chief nurse, Bourama Faboure, said that 21 people had been injured, including four who suffered second-degree burns.
The dugout had been carrying about 140 people, nearly 90 of whom survived and were able to be identified.
"There were Guineans, Nigerians, Gambians and Senegalese," Diatta said.
But the search continued for those still missing, he said.
"The survivors are saying that the fire was started by someone smoking a cigarette where the fuel was kept," the mayor said.
Police have launched an investigation into the incident.
Many migrants set off from Senegal to try to reach the Spanish Canary Islands as a gateway into Europe.
Source: English.alaraby