ItsMi
Member
- Sep 13, 2021
- 66
- 31
Wahamiaji hao ambao hutokea nchi zenye machafuko ya kisiasa na hatimaye kufika nchini kwetu na kupokelewa na wenyeji wa hapa kwetu kwa sasa wimbi hili kubwa linalotokea kila mwaka ni tishio kwa wananchi na mali zao.
Maana yake kama wanaweza kuingia na kufichwa kwenye makazi yetu ni jambo la hatari kwa kuwa wanaweza wakafanya lolote tusilotarajia kutokea
Hivyo hali hii inawanyima imani ya usalama raia katika jamii zao. Jambo lenye utata ni kwamba je?
Kama wameweza kuvuka mipaka ya nchi bila askari kujua lolote mapema basi hii inaweza ikawa hatari kwa jamii na mali zao
Kwa hiyo jeshi la polisi na wizara zinazohusika ziweke umakini na kuongeza ushirikiano kwa wananchi ili kuendelea kujuzana kuhusu matikio yanayokuwa yanaendelea kujitokeza Kwa pamoja tutaweza kulijenga taifa imara.
Asante

Upvote
1