Hawataki tuhela tudogoKwa nini msianzie na nyumba za kawaida? Kila jengo linahitaji usanifu, hapo ndio mnapofeli mnapoanza kubagua majengo. Wenzenu madaktati kila anayedili na mtu lazima awe amequalify na amepitishwa. nyie mnachagua baadhi ya majengo halafu bei zenu sio rafiki kwa watanzania
Sisi kama wahandisi tungefurahi kuona jamii inatutumia katika kufanya shughuli za kihandisi katika jamii.Kwa nini msianzie na nyumba za kawaida? Kila jengo linahitaji usanifu, hapo ndio mnapofeli mnapoanza kubagua majengo. Wenzenu madaktati kila anayedili na mtu lazima awe amequalify na amepitishwa. nyie mnachagua baadhi ya majengo halafu bei zenu sio rafiki kwa watanzania
Fani yenu sio rafiki kwa jamii ya watu wenye kipato cha chini hata kidogo. Na pia kuna alternative kwenye kazi yenu, kwa kuwa kuna mafundi mitaani wanafanya kazi zenu kwa ufanisi mkubwa sana na hamna risk yoyote kuwatumia tofauti na madaktari one mistake one goal.Sisi kama wahandisi tungefurahi kuona jamii inatutumia katika kufanya shughuli za kihandisi katika jamii.
unajua yapo mambo ambayo jamii inayafanya kwa kutojua na kuingiza jamii katika gharama zisizo za msingi na tungependa kuona jamii inapata majibu ya kitaalamu ambayo yatatengeneza ajira kwa wataalamu wetu na kuisaidia jamii kuepuka gharama zisizo za lazima au kuongeza thamani katika makazi yao
Siku ghorofa lako likikuangukia ndio utajua umuhimu wa wahandisi.Fani yenu sio rafiki kwa jamii ya watu wenye kipato cha chini hata kidogo. Na pia kuna alternative kwenye kazi yenu, kwa kuwa kuna mafundi mitaani wanafanya kazi zenu kwa ufanisi mkubwa sana na hamna risk yoyote kuwatumia tofauti na madaktari one mistake one goal.
Mnatishia nyau. Umeona lini ghorofa limeanguka Bongo? Mpaka maghorofa ya udongo yanadunda tu.Siku ghorofa lako likikuangukia ndio utajua umuhimu wa wahandisi.
Ukienda mtaani unakuta mtu anajenga nyumba ya kigorofa kimoja, chini anasimamisha nguzo za zege alafu analaza tofali zote za ile sehemu ya chini. huku ni kuongeza gharama za ujenzi ambako kama wangekuwa wanatumia wataalamu bila shaka gharama zingepungua.Mnatishia nyau. Umeona lini ghorofa limeanguka Bongo? Mpaka maghorofa ya udongo yanadunda tu.
Nyumba nachora mwenyewe natafuta local fundi wanajenga design za finishing nabuni mwenyewe na wapangaji napata
Pesa yangu niitafute kwa shida halafu nipangiwe cha kufanya? tatizo ninaloliona hapa ni watu kusoma wakitarajia mteremko baada ya kuhitimu jiajirini nyie wapumbavuKama kufungua biashara ya duka la dawa ni lazima udhaminiwe na dakitari inakuwaje shughuli za kihandisi zinafanyika bila kuhusisha wahandisi.
Tatizo kwanza waandisi watanzania ni vihiyo hata aliyewafundisha hawaamini, jipangeni kiweledi kwanza muweze kushinda kandarasi kubwa zinazochukuliwa na wageni hapa nchini ndiyo mje na upumbavu wenuKama kufungua biashara ya duka la dawa ni lazima udhaminiwe na dakitari inakuwaje shughuli za kihandisi zinafanyika bila kuhusisha wahandisi.
Kufungua gereji, ujenzi wa majengo ya gharama, sehemu za kuchomelea, n.k yote haya yanafanyika holela.
Kama madaktari wameweza hivi sisi wahandisi tunashindwa nini?
Nadhani tofauti kubwa ni madaktari wanacho chama strong kinachowatetea na sisi wahandisi tupo tupo tu.
Ni lazima jamii ijenge mazingira ya kujiri wataalamu inaowasomesha.
Hii tunaita kuendesha nchi kwa kutumia umbumbumbu.tatizo kwanza waandisi watanzania ni vihiyo hata aliyewafundisha hawaamini, jipangeni kiweledi kwanza muweze kushinda kandarasi kubwa zinazochukuliwa na wageni hapa nchini ndiyo mje na upumbavu wenu
Umeme a kweli mkuuHii tunaita kuendesha nchi kwa kutumia umbumbumbu.
Shule peke yake haimfanyi mtu kubobea katika fani yake bali shule pamoja na exposure baada ya shule.
unachokisema ni african mentality ambayo imeendelea kutafuna jamii zenu. mfano unakuta
Mie nimejenga ghorofa moja na nimetumia Architecture kuchora, QS kufanya makadirio na Engineer amesimamia lakini tofali za chini wamelaza na nguzo zimewekwa unataka kusema wote hao ni mbumbumbu?ukienda mtaani unakuta mtu anajenga nyumba ya kigorofa kimoja, chini anasimamisha nguzo za zege alafu analaza tofali zote za ile sehemu ya chini. huku ni kuongeza gharama za ujenzi ambako kama wangekuwa wanatumia wataalamu bila shaka gharama zingepungua.
unakuta mtu anajenga nyumba kwa kujitahidi kuweka choo cha public na masta ya nyumba
Kuna sababu kwanini watu wanasomea majengo miaka minne na wengine mitano chuoni.Mnatishia nyau. Umeona lini ghorofa limeanguka Bongo? Mpaka maghorofa ya udongo yanadunda tu.
Nyumba nachora mwenyewe natafuta local fundi wanajenga design za finishing nabuni mwenyewe na wapangaji napata
Hata mafundi wa kawaida wanajiita ma engineer na ndiyo hao umekutana naoMie nimejenga ghorofa moja na nimetumia Architecture kuchora, QS kufanya makadirio na Engineer amesimamia lakini tofali za chini wamelaza na nguzo zimewekwa unataka kusema wote hao ni mbumbumbu?
Nimetumia kampuni kubwa tu mdogo wangu mie nimesoma nina uhakika kizidi wewehata mafundi wa kawaida wanajiita ma engineer na ndiyo hao umekutana nao