Najua unijui ndio maana unanichukulia poa nina elimu na nina uwezo kiuchumi na nina mijengo ya mfano Dar na mikoa kadhaa so don't judge me wronghata mafundi wa kawaida wanajiita ma engineer na ndiyo hao umekutana nao
Kama kufungua biashara ya duka la dawa ni lazima udhaminiwe na dakitari inakuwaje shughuli za kihandisi zinafanyika bila kuhusisha wahandisi.
.
Cha kuropoka usiyoyajuaHata ukisoma hoja za wasomi wakada hiyo utagundua kitu mnaobisha bisheni tu kwass tunaokutana nao baadhi yao hawana uwezo huo kamawanavoona wao nimeshuhudia mara kwamara hao walimu wao wanakosolewa nahao mafundi wamtaani dalasa la7 nafikiri vitabu vinatumika zaid kuliko vitendo
Ni kweli itaongeza ajira kwa vijanaKama kufungua biashara ya duka la dawa ni lazima udhaminiwe na dakitari inakuwaje shughuli za kihandisi zinafanyika bila kuhusisha wahandisi.
Kufungua gereji, ujenzi wa majengo ya gharama, sehemu za kuchomelea, n.k yote haya yanafanyika holela.
Kama madaktari wameweza hivi sisi wahandisi tunashindwa nini?
Nadhani tofauti kubwa ni madaktari wanacho chama strong kinachowatetea na sisi wahandisi tupo tupo tu.
Ni lazima jamii ijenge mazingira ya kujiri wataalamu inaowasomesha.
Wako mafundi wamewazidi na mavyeti yenu.Siku ghorofa lako likikuangukia ndio utajua umuhimu wa wahandisi.
wako mafundi wamewazidi na mavyeti yenu.
Nawaomba wasomi wa kitanzania kufuta mentality kuwa kumiliki vyeti na kuitwa mhandisi basi Wewe ni bora kuliko mafundi wa mtaani.Kuna mafundi kutokana na exposure waliyo nayo ktk kazi zao Ni wazuri kuliko nyie na vyeti vyenu.
Ukiwa
mhandisi unaweza pia kujishikiza KWA Hawa mafundi ili angalao jamii ikutambue.lakini nyie hamtaki kuanzia mahali fulani.
Unakuta mtu katoka shule juzi anajiita mhandisi anataka naye apate tenda ya jengo fulani.Hujawahi kusimamia site yyte unataka kazi.Narudia lazima uanzie mahali fulani chini. Halafu wao ni wahandisi wa magorofa tu.
Pili, bei zenu Sasa hazishikiki.
Ha ha haMa Engineer wa TBA walishindwa kazi ya kuset foundation ikabidi Fundi mzoefu darasa la 7 awasaidie kuset.
Ha ha ha
wako mafundi wamewazidi na mavyeti yenu.
Hii nzuri sana. Na mtengeneze standards garage kamili iwe na vitu gani isiishie kuwa na spana tu.Kama kufungua biashara ya duka la dawa ni lazima udhaminiwe na dakitari inakuwaje shughuli za kihandisi zinafanyika bila kuhusisha wahandisi.
Kufungua gereji, ujenzi wa majengo ya gharama, sehemu za kuchomelea, n.k yote haya yanafanyika holela.
Kama madaktari wameweza hivi sisi wahandisi tunashindwa nini?
Nadhani tofauti kubwa ni madaktari wanacho chama strong kinachowatetea na sisi wahandisi tupo tupo tu.
Ni lazima jamii ijenge mazingira ya kujiri wataalamu inaowasomesha.
Wataalamu ndo shida. Hamuwezi kupigiwa miluzi muonekane bali mnatakiwa kuonyesha huduma zenu tuwatafuteUkienda mtaani unakuta mtu anajenga nyumba ya kigorofa kimoja, chini anasimamisha nguzo za zege alafu analaza tofali zote za ile sehemu ya chini. huku ni kuongeza gharama za ujenzi ambako kama wangekuwa wanatumia wataalamu bila shaka gharama zingepungua.
Hata mm ninavyo vyeti. Ni mavyeti kwani kuna wakati hayana maana Sana ktk maisha.Sio mavyeti sema VYETI.
Ndiyo maana wenzetu wanawatambua Hawa watu na kuwapa heshima.Ma Engineer wa TBA walishindwa kazi ya kuset foundation ikabidi Fundi mzoefu darasa la 7 awasaidie kuset.
Hawataki tuhela tudogo
Watoto wa Kibongo ambao wazazi wao wana uwezo walau kidogo ni shida. Kupelekwa shule tu ni lazima umlazimishe na kumtishia ndio anaenda. Yaani wanataka maisha ambayo hawajayatolea jasho hata kidogo.Hii tunaita kuendesha nchi kwa kutumia umbumbumbu.
Shule peke yake haimfanyi mtu kubobea katika fani yake bali shule pamoja na exposure baada ya shule.
Why beam iwe 450mm? nadhan hiyo ndo kaz ya profesional..hii field inaitaj ujifunze kila muda na uwe mtafit wa sehem nyingi..Mafundi michundo ni wazuri sn ila uzoefu haiwez kuzid professional.Jamaa ni darasa la 7 ila anapewa kazi kubwa za TBA ,sasa wale ambao ndio ma Engineer jamaa anasema ni vilaza mbaya,hawajui kitu,wao wanajua mambo ya kwenye karatasi tu,kuna kipindi engineer alisema waset beam 70 ,ikabidi fundi mzoefu amwambie unaijua beam ya 70 inavyofanana? Jamaa kwa uzoefu ikabidi awafundishe kwamba beam ni 45!
Why beam iwe 450mm? nadhan hiyo ndo kaz ya profesional..hii field inaitaj ujifunze kila muda na uwe mtafit wa sehem nyingi..Mafundi michundo ni wazuri sn ila uzoefu haiwez kuzid professional.