Wahandisi wa Kitanzania Popote Mlipo


Asante. What you are doing is confirming that we are BUYERS/USERS and not Manufacturers.......
 
najaribu kukutumia PM haikubali,au hutaki kupokea pm?

We Mohamed ni Engineer wa kutuma PM tu au? Hebu changia bana. Sio tunang'ang'ania kuwa wanasiasa wote......ndio maana tunaona picha za mashimo kwenye barabara zetu kama wote tukiwa wanasiasa.
 
We Mohamed ni Engineer wa kutuma PM tu au? Hebu changia bana. Sio tunang'ang'ania kuwa wanasiasa wote......ndio maana tunaona picha za mashimo kwenye barabara zetu kama wote tukiwa wanasiasa.

Mkuu mi naona siasa inalipa zaidi ya uhandisi ndo maana kila m2 anabanana kwenye siasa! What happens ni kwamba hizi CAD/CAM packages zote ziko predesigned kwa hiyo wengi wetu hatujui kile kinachoendelea ndani ya black box na ndio maana tunabakia kuwa users tu na sio watengenezaji.

Mi nilitumia AutoCAD kwa kufanya Mechanical, PID na Structural Drafting kwa muda. Hizi kazi zangu zilikuwa zinahusiana na designs/ Modifications kwenye equipments tulizokuwa tunatumia katika kazi zetu. Ila pia hata hizo Mods zilifanyika kufuatana na pre-designed equipment ambayo details zake unapewa kabla so it becomes a matter just incorporating the new design into an existing.

Naamini Wahandisi wa kibongo wako vizuri japokuwa hizi packages zinakosa serious applications katika real life!! Mfano ni kama ukiangalia miradi yote inayofanyika bongo kama ya barabara, umeme, madini n.k utakuta Wahandisi wetu wengi wanakuwa involved in those very small units like maintainance after commissioning!! sasa hii utakuta ni kitu kinachofuata tu OEM manuals n.k. Ni lini such an Engineer will get to utilise his technical expertise?? Hili suali ndio nadhani ni la msingi zaidi!

Mi nakubaliana na wewe Nzoka kwamba we seem to be users/buyers than manufacturers!!! and thats the truth though it hurt.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…