Underdog
JF-Expert Member
- Apr 14, 2014
- 343
- 444
Bila shaka mu bukheri wa afya na mnaendelea vyema na majukumu ya kila siku.
Leo ningependa tujadiliane kidogo kuhusiana na manufaa tuyapatayo sisi Wahandisi tuliosajiliwa (Professional Engineers).
Kwa Wahandisi tofauti na wale Civil Enginners, tuchukulie mfano Mechanical Engineers na wengine, tupeane uzoefu wa ni namna gani tunavyo(weza)nufaika na mihuri yetu. Tupo uzoefu wako wa namna unavyojinufaisha .
Ahsante sana.