Tafuta kwanza connection uone itakavyokunufaisha.Kwa Wahandisi tofauti na wale Civil Enginners, tuchukulie mfano Mechanical Engineers na wengine, tupeane uzoefu wa ni namna gani tunavyo(weza)nufaika na mihuri yetu. Tupo uzoefu wako wa namna unavyojinufaisha .
I FEEL YOU NIGGAni bora tu uwe graduate
ERB ni genge la wapuuzi waliopo kukamua pesa tu ,hamna la maana wanalofanya , wao ndio walitakiwa wawe mstari wa mbele kupigania maslahi ya wahandisi kwenye vitu kama ajira nk ,lakini utashangaa kuna kundi la Proffessional engineers wapo kitaa ajira hamna na hata mihuri yao hawawezi kutumia kwa opportunities zozote kujiingizia kipato maana fursa hamna .Bila shaka mu bukheri wa afya na mnaendelea vyema na majukumu ya kila siku.
Leo ningependa tujadiliane kidogo kuhusiana na manufaa tuyapatayo sisi Wahandisi tuliosajiliwa (Professional Engineers).
Kwa Wahandisi tofauti na wale Civil Enginners, tuchukulie mfano Mechanical Engineers na wengine, tupeane uzoefu wa ni namna gani tunavyo(weza)nufaika na mihuri yetu. Tupo uzoefu wako wa namna unavyojinufaisha .
Ahsante sana.
NakaziaNdio maana hata engineers wengi nowdays wanaona bora kuwa graduate engineers Tu , Hamna incentives zozote za kuwa Proffessional Engineer ,upuuz Sana