Mimi nailaani saana hii bodi ya mikopo tanzania,mimi na wenafunzi wenzangu tunaosoma china mpaka sasa hatujapewa mkopo wetu toka bodi na maisha yetu yamekuwa magumu sana.kila siku ni sababu tu mar leta account number mara peleka majina ubalozini,
ni aibu sana kama bodi haiwezi hata kuhudumia wanafunzi wachache,kumbuka tuliopwengi tumeisha anza kurudisha mikop yetu,kwa ufahamu wangu mdogo ni bora kumhudumia vizuri mkopaji anayerudisha mkopo kuliko kumuacha akateseka namna hii.
NI mwaka sasa tumekaa bila mkopo sasa loan board wameamua kutupa nasisi tule japo miaka miwili ijayo.si wengine ni wale continuing ambao tulikosa mkopo mwaka wa kwanza majina yetu yameingia mjengoni jioni hii, yaan hapa ni..
:drum::violin::cheer2: :lalala: :target: :majani7: