Waharifu wamepungua nchini Russia baada ya wafungwa kupewa chaguo la kujiunga na jeshi na kepelekwa Ukraine

Hiyo ni dalili kwamba walioenda vitani hawakurudi tena salama
 
Ukienda kupigana huko sio kama unaenda kupigana milele au mpaka vita itakapokwisha! Unapelekwa may be miezi 6 then unarudi kama utakuwa hai.
 
Fursa iyo mkuu na wanalipa vizuri sana
 
Back
Top Bottom