Wahariri wa Habari, Wahariri wa TEF na Wamiliki wa Vyombo vya Habari, Waihakiki Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050

Bahati mbaya sana hatuna tena wahariri bali machawa katika ofisi za wahariri, wakiendeshwa na mafisadi walioko madarakani. Hakuna cha maana kitakachotokea kwao
Mkuu Gulwa , sio kututendea haki wahariri wote kutuweka kwenye tenga moja la samaki, mmoja akioza,wote wameoza。
this is not fair!。
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…