Wahaya Bwana- Kagera Day Balaa Tupu!

Kweli kabisa,nilikuwepo ktk kagera day 2007,Pesa iliyohaidiwa ilikifikia millioni 800,mpaka sasa hata 400millioni haijafika,
WAhaya misifa kibao,wakipigiwa simu simu kutimiza ahadi utasikia
Infwakti nilikuwa ktk mkutano wa UN last week so ntatuma cheki next week,huu ni wizi mtupu!! na sifa kibao
ila kwa kisomo kweli wamesoma ukilinganisha na makabila mengine Tz
 
"wamemsahau professor mukandala wa udsm" kwani walimkumbuka, Prof.Anna Tibaijuka?Prof:Kahamba,Prof.Kilama,Prof...........
 
Si kweli. Wachaga na wanyakyusa wawaweka kundi lipi?
 

Ahsanteni kwa kuwafanya wahaya famous. Kwa namna hii ndio wanazidi kwenda mbele wengine mbaki tu mnatambaa.
 
Sasa balaa liko wapi? Kwani kuchangia ni dhambi! Si inategemea na uwezo wao. Wao wako juu ndugu yangu!!!
fkj
Dar
 

hiyo day ni ya wasomi tu? au wahaya wote wana phd na uprofesa?
 
Dah,niutani lakini ukuzidi! Unauma kidogo ok,si mnajua tena wakati utani unapo zidi waweza kujisahau kuwa upo kwenye jumba la utani!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…