Wahaya Bwana.

nani mnayemzungumzia mimi siwaelewi
 
Bk sande ni msaniii mwenye kipaji kikubwa Sana .

Ila amekosa nidhamu binafsi self-discipline.


Kama kuna ndugu zake na watu wa karibu wakae nae wajaribu kumshauri katika haya mambo matatu.

Kupunguza matumizi ya pombe

Kupunguza mambo ya wanawake

Na kujaribu kufanya zaidi muziki wake Kama zamani.

Mujo kanyinya unaweza fanyia Kazi hili swala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…