D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,399
- 3,666
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]*_Mchaga_* hata apate kazi bank bado atasema yupo *kibaruani*.
Acha sasa *_mhaya_* apate kazi katka mashine ya kusaga na kukoboa;
utaskia *i work as a crucial engineer in a monocotyledon finalizing company*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sijamtaja mtu.
msalimie mwanao coconut(koko)hahahahahah, iwe mbwenu, yoooo! nakuona wee bwana mdogo infact una tani na siye!
kama nakuona vileeha ha ha
we mchocheziIla twajua umemtaja mh wa View_wonder. Vyerehani 4 ni kiwanda
we mchochezi