Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
Wandugu ina maana mmeshindwa kabisa kufuga senene tule mwaka mzima?
Wamarekani wanakula mdudu mmoja anafanana na senene anaitwa Cricket kwa Kiswahili nyenje au nyenze. Wameanza kumfuga na ni biashara kubwa sana.
Fanyeni mambo tupate senene mwaka mzima. Dunia inakoenda wadudu watakuwa ni source kubwa sana ya protini.