[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka sana leoActually… mnaleta dharau… sisi wahaaaya.. tunawaachia hao masikini wakizungu wafuge.. sisi tunafugiwa na ardhi. So don’t make noise. Wakina bishaija na biashaire hatuwezi fuga senene wewe. Unaeereeewaa???
Ndicho tunachosubiriUmefikilia mbali sana. Watakuja wachina kuwafuga na tutanunua toka kwao.
Uko sahihi sanaa, sema kule kwetu kuna kasumba kutopenda kubadilika. Mpaka leo tunabishana na wazee kuhusu saula zima la kubadilisha mazao ili wasitegemee ndizi tu, ikawa vita lakini naamini vijana watafanya mabadiliko.Wandugu ina maana mmeshindwa kabisa kufuga senene tule mwaka mzima?
Wamarekani wanakula mdudu mmoja anafanana na senene anaitwa Cricket kwa Kiswahili nyenje au nyenze. Wameanza kumfuga na ni biashara kubwa sana.
Fanyeni mambo tupate senene mwaka mzima. Dunia inakoenda wadudu watakuwa ni source kubwa sana ya protini.
Aiseee, nimeishia kucheka tu....Actually… mnaleta dharau… sisi wahaaaya.. tunawaachia hao masikini wakizungu wafuge.. sisi tunafugiwa na ardhi. So don’t make noise. Wakina bishaija na biashaire hatuwezi fuga senene wewe. Unaeereeewaa???