Wahaya mpewe maua yenu kwenye mizagamuano

Mkuu usicheze na mizagamuano,
Kuna daudi alimcheki tu mke wa uria akiwa anaoga uvumilivu ukamshinda, akina samson sasa mimi ni nani kwa wahaya nisianguke! Nisipo kuwa imara.
Hii mambo ni sensitive sana.. ukikaa vibaya lazima inakusomba
 
Hao ndio balaa sasa.. wanajifichaficha tu sababu kwao kuwa exposed ni kama aibu. Ila mwendo ni uleule.. unadhani kimasihara inakujaje mkuu
duh! Kumbe ni hatari, bora wao hata huwezi gundua kirahisi, ndo maana jana niliona comment inasema et kuna pastors wanavaa boxer mbili ili mzigo usioneka kirahisi ukisimama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…