sindesunde JF-Expert Member Joined Dec 21, 2018 Posts 358 Reaction score 348 Jul 17, 2020 #1 Kama kichwa cha habari naombeni maana ya haya maneno kwa kiswahili (mwaimuksyo okwo nogendelelaota waikizem) [emoji120]
Kama kichwa cha habari naombeni maana ya haya maneno kwa kiswahili (mwaimuksyo okwo nogendelelaota waikizem) [emoji120]
Diplomat Niwe JF-Expert Member Joined Apr 22, 2014 Posts 231 Reaction score 215 Jul 17, 2020 #2 “Mmeamkaje huko? Vipi hali yako? Ushapata nafuu?”
sindesunde JF-Expert Member Joined Dec 21, 2018 Posts 358 Reaction score 348 Jul 17, 2020 Thread starter #3 Asante sana mkuu maana kuna raia aluniomba simu sasa nilivyoona lugha tofauti nikaiina nisipate msala na tcr.
Asante sana mkuu maana kuna raia aluniomba simu sasa nilivyoona lugha tofauti nikaiina nisipate msala na tcr.