Wahaya wakati wa kuozesha

Wahaya wakati wa kuozesha

Kaitaba

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2009
Posts
915
Reaction score
54
Picha hii inaonesha wazee wanakuja kuomba binti yaani send off, sio kwamba wote ni waislamu ila hilo kanzu ni vazi la heshima
 

Attachments

Hii nayo mtasema hamuioni, kama hamtaki niwaletee vitu vya makabila mbali mbali mseme.
 
Ss hicho kitabu (kipo km bible) huyo binti kakishika cha nini hapo?
 
Mkuu Kaitaba,

Quality ya VIDEO iko poor sana! Ulitumia simu ya kingajani ku-shoot hii video?

Anywayz, better than nothing!
 
Ss hicho kitabu (kipo km bible) huyo binti kakishika cha nini hapo?
sio kama bible ila ni bible halisi, hapa wanamaanisha kuwa japo wako kwenye mila, bado wanaamini katika dini yao ya kikristo
 
Mkuu Kaitaba,

Quality ya VIDEO iko poor sana! Ulitumia simu ya kingajani ku-shoot hii video?

Anywayz, better than nothing!
Nilitumia digital camera upande wa video, nyumba yenyewe ilikuwa na giza sana, na kutokana na hakukuwa na umeme sikutumia taa,

Hata hivyo kipande cha mila kinaonekana vizuri.
 
Back
Top Bottom