Kaitaba JF-Expert Member Joined Jun 30, 2009 Posts 915 Reaction score 54 Oct 26, 2009 #1 Picha hii inaonesha wazee wanakuja kuomba binti yaani send off, sio kwamba wote ni waislamu ila hilo kanzu ni vazi la heshima Attachments Bkb kuanza mira.avi Bkb kuanza mira.avi 1,007.3 KB · Views: 348
Picha hii inaonesha wazee wanakuja kuomba binti yaani send off, sio kwamba wote ni waislamu ila hilo kanzu ni vazi la heshima
Kaitaba JF-Expert Member Joined Jun 30, 2009 Posts 915 Reaction score 54 Oct 26, 2009 Thread starter #2 Hii nayo mtasema hamuioni, kama hamtaki niwaletee vitu vya makabila mbali mbali mseme.
Next Level JF-Expert Member Joined Nov 17, 2008 Posts 3,153 Reaction score 180 Oct 26, 2009 #3 Ss hicho kitabu (kipo km bible) huyo binti kakishika cha nini hapo?
Baba_Enock JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 7,076 Reaction score 2,457 Oct 26, 2009 #4 Mkuu Kaitaba, Quality ya VIDEO iko poor sana! Ulitumia simu ya kingajani ku-shoot hii video? Anywayz, better than nothing!
Mkuu Kaitaba, Quality ya VIDEO iko poor sana! Ulitumia simu ya kingajani ku-shoot hii video? Anywayz, better than nothing!
Kaitaba JF-Expert Member Joined Jun 30, 2009 Posts 915 Reaction score 54 Oct 26, 2009 Thread starter #5 Next Level said: Ss hicho kitabu (kipo km bible) huyo binti kakishika cha nini hapo? Click to expand... sio kama bible ila ni bible halisi, hapa wanamaanisha kuwa japo wako kwenye mila, bado wanaamini katika dini yao ya kikristo
Next Level said: Ss hicho kitabu (kipo km bible) huyo binti kakishika cha nini hapo? Click to expand... sio kama bible ila ni bible halisi, hapa wanamaanisha kuwa japo wako kwenye mila, bado wanaamini katika dini yao ya kikristo
Kaitaba JF-Expert Member Joined Jun 30, 2009 Posts 915 Reaction score 54 Oct 26, 2009 Thread starter #6 Baba_Enock said: Mkuu Kaitaba, Quality ya VIDEO iko poor sana! Ulitumia simu ya kingajani ku-shoot hii video? Anywayz, better than nothing! Click to expand... Nilitumia digital camera upande wa video, nyumba yenyewe ilikuwa na giza sana, na kutokana na hakukuwa na umeme sikutumia taa, Hata hivyo kipande cha mila kinaonekana vizuri.
Baba_Enock said: Mkuu Kaitaba, Quality ya VIDEO iko poor sana! Ulitumia simu ya kingajani ku-shoot hii video? Anywayz, better than nothing! Click to expand... Nilitumia digital camera upande wa video, nyumba yenyewe ilikuwa na giza sana, na kutokana na hakukuwa na umeme sikutumia taa, Hata hivyo kipande cha mila kinaonekana vizuri.