Wahaya wamjibu RC Chalamila, wamtaka Rais Samia Suluhu Hassan amuomdoe haraka kabla mambo hayajaharibika

Chalamila anazingua. Habebeki huyu Mnyalukolo
 
Wahehe hawatakagi ujinga
 
VImelea vya Mwendazake aliyesema
Maradhi Kagera
Matetemeko Kagera
Mnyauko wa migomba Kagera
Ni dhahiri huyo RC wenu hana jipya pamoja na kuonywa aache utoto lakini habadiliki
Chalamila asipokaa rada safari hii wanamkatia chini.
 
Kila kitu wanasingizia Vita ya 1978

Na nyie Chadema mbona Kibamba na Iringa mmejenga Stendi bora Kabisa hapo Bukoba Lwakatare alishindwaje?

Watutolee vurugu vita iliathiri mikoa yote, hakuna mkoa ambao shughuli za kiuchumi ziliendelea kipindi chote cha vita hivo wahaya waache visingizio sema hata chalamila sio kiongozi mzuri mwenye ubunifu
 
Bladfaken kichaa huyu amuondoe. Kila hotuba nimatusai matusi matusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…