Wahaya wamjibu RC Chalamila, wamtaka Rais Samia Suluhu Hassan amuomdoe haraka kabla mambo hayajaharibika

Ni sahihi kabisa hata baadhi ya wanawake wa kabila hilo kwa kiasi fulani hufanya biashara ya ukahaba maeneneo mengi ya Jiji la Dar es salaam.
 
Mkuu wa mkoa amewaasa mchape kazi muache majungu lakini bado mnaendeleza majungu yenu. Wahaya ni ng'ombe kweli.
 
 
Wacha awachane live, na anaongezea anasema Kagera kila mtu ni Mwanasheria[emoji3][emoji3], badilikeni basi.
 
Wajomba zangu wahaya wapo vizuri sana kielimu na wanajipenda kama wachaga hasa hasa vijijini kwao wenye uwezo wamesimika mijengo ya maana, lakini wana tabia moja ya dharau na kujisikia sana hasa waliobarikiwa kuwa na uwezo, Mwenye uwezo ndiye anayesikilizwa kule ata akitoa neno linapita bila kupingwa lakini kama auna kitu wanakuona takataka tu, hilo la uvivu ni kweli wahaya wanachagua kazi za kufanya, ni ngumu sana muhaya kukubali kufanya kazi xisizoeleweka anaona kama vile atachekwa na jamii iliyomzunguka labda kama wamebadilika kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…