Machame Juu
JF-Expert Member
- Jul 25, 2013
- 1,514
- 3,363
Baadhi ya wahaya wanadai na wako serious makamu wa Rais mpya wa Marekani Kamala Harris ni damu yao. Labda utetezi wao ni kutokana na jina lake la kwanza.
Ki ukweli Kamala Harris baba yake ni asili ya Jamaica aliyehamia Marekani Donald Harris na mama yake Shyamala Gopalan ni mhindi aliyehamia Marekani na kufariki 2009 kwa kensa.
Wa Jamaica na wahindi wana iyo haki ya kusema ni damu.