Wahaya wote inawahusu!!!

Ndiyo lengo la mtoa hoja kwani mkoa ni masikini sawa lakini wazawa matajiri ni wengi na wamewekeza nje ya mkoa wao.
 


Those days are gone!
 

Hili ndilo tatizo la kukurupuka kutoa hoja ikiwa hujui mada inazungumzi, kitendo cha kuona neno wahaya umekuwa na jaziba bila kujua mtoa mada alizungumzia nini kuhusu wahaya. We kilaza kweli!
 
dats right brother......nmeipenda hii, unajua kitu km hii ni ya muhimu sana ktk jamii na nadhani makabila mngn yakiiga nadhani itakua njia nzuri sana kuelekea maendeleo, actually mi pia ni muhaya but nlipofika chuoni (ARUSHA TECH) nlitamani sana kiwepo kitu km hiki but unfortunately nlitaarifiwa kua hiyo kitu ilikuwepo but uongozi wa chuo ulipiga sana vita so ikafa but one thing nlipenda kwa wahaya its strong cooperation kwamba japokua walizuia but still they are 2gther hata mwenzetu anapopatwa na shida response yao inakua kubwa.
 
amina sana, kaka hebu achana nao bhana wivu tu ndo umemjaa. "WAHAYA ELIMU KWANZA" amina sana
 

wewe kweli mhaya pure!
 
Wahaya enzi zile siku hizi kichwani zero,karibuni musoma!
 
Hapa tatizo umetaja wahaya mjomba,ungetaja wabena/wagogo wala usingesimangwa hivi ..ila msipoteze focus yenu,go on!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…