JERUSALEM 2006
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 527
- 596
- Thread starter
-
- #41
Mkuu huyu jamaa kadanganya na akiendelea kuleta habari zake za kipuuzi ntamuumbua hapahapa. mia
Tuacheni mimi na mtani wangu tuchat nyie hayawahusu, kwanza nina mpango wa kumpeleka jando ili msimcheke.
Mtani twende kazi;
Las Mas Bobos: Omukazi wange, amahela aganaguza ebintu byaitu tugabiike omubenki ki?
JJB: Tugabiike onyuma yo mti.
mzee wako ndo ana nyumba, wewe unayo? ajabu ni kwamba unaringa na kanyumba kamoja ka oystberbay, hujui kama humu ndani kuna watu wana majumba zaidi ya matano masaki, arusha na mahotel kibao...shukuru selikali imewauzia nyumba la sivyo ungeishi migombani kule kagera uliwe na funza....piga shule dogo acha ushamba.Ngoja nikusaidie, najua haupajui Oysterbay na ndio maana unadhani huku wanaishi malaika.
Hacha ushamba wewe, mi mzee wangu amekuwa mwajiliwa wa serikali for many years na tumeuziwa nyumba yetu na serikali. Nimekupa anwani yetu, tupo karibu na kituo cha mabasi yaendayo Masaki kinaitwa KONTENA. Na jirani yetu kuna Casino mpya imefunguliwa.
U can't c me!
mzee wako ndo ana nyumba, wewe unayo? ajabu ni kwamba unaringa na kanyumba kamoja ka oystberbay, hujui kama humu ndani kuna watu wana majumba zaidi ya matano masaki, arusha na mahotel kibao...shukuru selikali imewauzia nyumba la sivyo ungeishi migombani kule kagera uliwe na funza....piga shule dogo acha ushamba.
sasa kwanini uwazingue member wenzio? sio vizuri bana. mimi hata ukinitaja sioni ubaya lakini cha mhimu jitahidi kuongea ukweli. Mi nakuheshimu sana lakini hii tabia uloanza siiafiki. miaEmbu niumbue nione, au unataka mimi nikuumbue wewe. AM WAITING!"muhaya elimu kwanza"
Moja ya Mikoa Maskini nchini ni KAGERA.
Kabila ambalo wengi wao wanaishi Nyumba ya Kupanga ni Wahaya.
Kabila lenye tabia chafu ni Wahaya.
Kabila linaloona misifa ni Wahaya.
Kabila Wanafiki ni Wahaya.
Katerero vipi?
Haya ni maoni yangu Kikatiba.ibara ya 18(1)coz nikiendelea ntapewa BAN bure.
Ukabila hivi bado upo?
wahaya jamaa wana chuki na majungu balaa afu mademu wao wote ni malay... Afu vilevile isitoshe dingi yako kapigwa libwata ful kuosha vyombo na kufua nguo za mkewe kabla ya kwenda kazn
Moja ya Mikoa Maskini nchini ni KAGERA.
Kabila ambalo wengi wao wanaishi Nyumba ya Kupanga ni Wahaya.
Kabila lenye tabia chafu ni Wahaya.
Kabila linaloona misifa ni Wahaya.
Kabila Wanafiki ni Wahaya.
Katerero vipi?
Haya ni maoni yangu Kikatiba.ibara ya 18(1)coz nikiendelea ntapewa BAN bure.
Omukama kaligonza tulibonangana. mia
Wewe kumtukana mshua wangu umeanzia wapi? Mtu mwenyewe ndo hivyo tena. Do u have a father? Binafsi baba yangu ameshatangulia mbele ya haki. Heri yako wewe mwenye baba.
omukama akubele muno.