Wahaya wote inawahusu!!!


we kweli hamnazo!ndo umechangia nn xaxa!
 

we kweli hamnazo!ndo umechangia nn xaxa!na mahari ndo nn tena?
 
Nimechoka ngoja nibadilishe thread nyingine...................NEXT............
 
Bsc Electrical ni koz ya failures wengi sana coet..ila ushauri wangu acha ukabila kuna supp, carry over na incomplete zinakusubiri...some people are so poor all they have is money.....hahahahahahaha...so backward nigga so backward...a man who fears is weak and is a slave...
 
Samahani.. nimefunga hii post kwa bahati mbaya.. Nilikuwa napita tu...
 

wewe umepotea,kama unamtizamo finyu hapa siko kwako labdaa jaribu kwa great sinker wenzako
 

Dogo kumbe ndo unajiunga na COET,mi nimepita hapo civil eng.lakini navyoujua mziki wa COet hasa civil and elect engineering ukifika hapo chuo hayo yote ya kuanzisha sijui clab wahaya utasahau,utaanza kuwaza assignment,boom,sap.kijana fika kwanza usome mazingira.
 
Kwa kuwataja Wahaya ushaweka ukabila.

Mara mia hata ungesema "wenyeji wa mkoa wa Kagera" maana unaweza kukuta mtu ni mwenyeji/mzaliwa wa huko na wala si Muhaya.

Sasa huyu atajisikiaje?

Inabidi ujifunze ustaarabu.
Hata sio hivyo tu bali Kagera ina makabila mengi tu Wahaya ndiyo wengi lakini inaonekana jamaa bado ana mawazo ya kizamani kwamba Kagera yote ni Wahaya. Na kwa kweli lugha uliyotumia hata mhaya ambaye ni mstaarabu hawezi kuunga mkono kabisa
 
Hata sio hivyo tu bali Kagera ina makabila mengi tu Wahaya ndiyo wengi lakini inaonekana jamaa bado ana mawazo ya kizamani kwamba Kagera yote ni Wahaya. Na kwa kweli lugha uliyotumia hata mhaya ambaye ni mstaarabu hawezi kuunga mkono kabisa

Ndio hao wenyeji wasio Wahaya.

Lawrence Masha kashawahi kudhaniwa Msukuma katika kipindi cha Mikasi, akasahihisha rekodi kwa kusema yeye si Msukuma, ni Mzinza.

Tanzania ina makabila mengi sana yasiyo maarufu, hizi habari za kulundika watu pamoja kwa makabila si nzuri.

Huko Kagera kuna Wahangaza wa Kagera pia, sasa hawa hawatakiwi kushiriki katika maendeleo ya mkoa kwa sababu si Wahaya?
 
MH!!
Wapendwa kaka zangu na dada zangu...Mimi kama Mtanzania na Muhaya,nimehuzunishwa na matusi,kashfa na kejeli za hii thread kuhusiana na Uhaya...ni kweli tuna mapungufu yetu ila ni kila mwanadamu ana yake,ukabila upo kila sehemu,ni vile kila mtu anamtupia mwenzake kesi badala ya kukubali na kuishi kama wamoja...tunatukanana...

Mwenyezi Mungu atusaidie watanzania sote,na wote waliotukana hapa...na hasa yule aliyemtukana mzazi wa mwenzake na akati mzazi huyo alishafariki...

Kabla ya kuchangia,tuangalie kwanza mtoa maada amejitambulisha vipi,na kama ni kashfa basi waweza kumrekebisha bila matusi....

Amani ya Mungu iwe nasi sote...
 
mimi muhaya wa maruku,babu alizaliwa ishozi na bibi alizaliwa ntoma,ila siwapendi wahaya
 
Mkuu m nko tanesco mwaka wa 2 nasoma M.I.T.A /1 sana.
 
Kama wahaya wanafanyia kazi sifa basi ni vizuri. Ina maana wamshavuka stage nyingi za maendeleo. Physiological needs wameishaipita ambayo mtu anakuwa motivated na mambo ya msingi kama chakula na nguo. wameipita. ya pili ni socioalogical motivation ambayo mtu anakuwa motivated na sense of belonging to the society kwamba ana marafiki, wageni wanakuja kwake nk. ya tatu ni psychological ammapo mtu anakuwa motivated na sifa zilizo kwenye jina lake. Nataka niwe rais, professor, watu wanijue kwamba mimi mkali. Kama wahaya wako hivyo hawastahili kulaumiwa bali kupewa pongezi.
 
hujui unachoongea wewe , hivi unajua kweli hata kuandika essay??? maana nimeangalia hapa nimeona ni blah blah tupu.. umesoma wapi wewe?? unajua kweli hata principles za academic writting?? maana naona unabwabwaja tu hapa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…