Wahehe walikuwa na uhakika gani kwamba fuvu walilopewa ni la kichwa cha Mkwawa?

Wahehe walikuwa na uhakika gani kwamba fuvu walilopewa ni la kichwa cha Mkwawa?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Nianze kwa kumuenzi jemedari Mkwawa kwa ujasiri wa kukabiliana na Wajerumani.

Kama kuna mtu ana details za kutosha atusaidie ili tuweze kufahamu kuhusu hii issue.

Kama uongozi wa wahehe wakati huo ulikuwa una uhakika kwamba ndio fuvu la chief au tu walifanya kuamini hivyo hivyo na kulipokea.
Screenshot_20240809-170024.png
 
Labda tuanze na hili, je una ufahamu kuhusu kitu inaitwa DNA (deoxyribonucleic acid)?
 
Back
Top Bottom