Eli Cohen JF-Expert Member Joined Jun 19, 2023 Posts 4,460 Reaction score 13,715 Aug 9, 2024 #1 Nianze kwa kumuenzi jemedari Mkwawa kwa ujasiri wa kukabiliana na Wajerumani. Kama kuna mtu ana details za kutosha atusaidie ili tuweze kufahamu kuhusu hii issue. Kama uongozi wa wahehe wakati huo ulikuwa una uhakika kwamba ndio fuvu la chief au tu walifanya kuamini hivyo hivyo na kulipokea.
Nianze kwa kumuenzi jemedari Mkwawa kwa ujasiri wa kukabiliana na Wajerumani. Kama kuna mtu ana details za kutosha atusaidie ili tuweze kufahamu kuhusu hii issue. Kama uongozi wa wahehe wakati huo ulikuwa una uhakika kwamba ndio fuvu la chief au tu walifanya kuamini hivyo hivyo na kulipokea.
Bondpost JF-Expert Member Joined Oct 16, 2011 Posts 7,019 Reaction score 10,455 Aug 9, 2024 #2 Labda tuanze na hili, je una ufahamu kuhusu kitu inaitwa DNA (deoxyribonucleic acid)?