Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Acha wehu huo*WAHEHE MSIJIFANYE HAMJASIKIA TANGAZO LA WAZIRI LUGOLA, MBWA BADO HAJAPATIKANA, NAONA MNAJIFANYA MKO BUSY NA MATOKEO YA YANGA*[emoji84]
Washamnywa supumtoa mada una maana kuwa wahehe ...............
Umenikumbusha jamaa mmoja hapa mtaani kila siku kwao anapika nyama afu ana mbwa nyingi ukimuuliza za nini hizo mbwa ana kwambia anatumia kwaajli ya ulinzi tu*WAHEHE MSIJIFANYE HAMJASIKIA TANGAZO LA WAZIRI LUGOLA, MBWA BADO HAJAPATIKANA, NAONA MNAJIFANYA MKO BUSY NA MATOKEO YA YANGA*[emoji84]
Na kama waliishamchinja wachangishane wakamnunue mwingine*WAHEHE MSIJIFANYE HAMJASIKIA TANGAZO LA WAZIRI LUGOLA, MBWA BADO HAJAPATIKANA, NAONA MNAJIFANYA MKO BUSY NA MATOKEO YA YANGA*[emoji84]