Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Ukitoa kumma na kitimoto kuna watu hawana maisha tena.....😁Utasikia oooh mie mwanamke hanibabaishi ila analala na kuamka akiwawaza wanawake na karibia kila uzi wake ni wanawake this and that🤣🤣🤣
Tunakabia juu sana.
Nakupigia simu bro pokeaaaaNipo Dar es salaam Tanzania.😂
Acha hizo namba ya unaijua?😂Nakupigia simu bro pokeaaaa
Am just helping men to stop killing this thugs(women)!!!Sawa mkuu
Mauaji haya hayajaanza leo ni zamani sana,sema siku hizi ni rahisi kujua kinachoendelea kutokana na utandawazi.Am just helping men to stop killing this thugs!!!
Kuanzia october 1 mpaka leo OCTOBER 2026 pekee kuna vifo vinavyohusu mapenzi kama ifuatavyo:
1.BUNJU
2.KIGAMBONI
3.DODOMA
4.MUSOMA
KWA HIVI VIFO VILIVYOAMBATANA NA JINSIA ZOTE ZIPO MATATANI WACHA TUENDELEE KUHUBIRI INJILI YA KWELI.
WANAUME WANAENDA JELA WANAWAKE WANAFUKIWA FUTI SITA🤔🤔
Tunasaidia vijana waje kwenye mahusiano wakiwa defensive nasio kama victims.Pamoja na hayo yooote bado anakushughulisha🤣🤣
Hii ni maajabu
Shida yako nyege zinakuendesha.Mauaji haya hayajaanza leo ni zamani sana,sema siku hizi ni rahisi kujua kinachoendelea kutokana na utandawazi.
Pia pupolation,kadri watu wanavyokuwa wengi ndivyo mambo yawe mazuri au mabaya yanavyoongezeka
Wanataka kupingana na nature🤣🤣🤣😅😅😅 hii milio inasikika kutoka kila pande za jeyihefu kuna niiiiiiiiiii😳
Maskini mleta mada 💔
Mtakufa sana kama kumbikumbi endekezeni hizo kyuma zenu,mnazoona kitega uchumi.Wanataka kupingana na nature🤣🤣🤣
Tutawafuatilia hawa isijekuwa dudu baya aliona mbali.
Ushasema mwanamke ni kiumbe dhaifu san, wala hana makuu. Yeye anaangalia tu ustawi wa familia yake. Na ni kiumbe chenye upendo sana usipomvuruga.Tunasaidia vijana waje kwenye mahusiano wakiwa defensive nasio kama victims.
Sisi wakongwe tukiacha mambo yaende hivi yalivyo mwishowe mtaanza kutulaumu hatujawapa CODES majr.
📌📌Mnauliwa sana kwasababu ya tamaa zenu. kuanzia october moja mpaka sasa wanawake 6 wapo mavumbini na wanaume 6 hatma yao ipo jela.
Its a disaster,hii sio mada ya kulana kimasihara.This is serious business!!!
IF YOU ARE A GOLD DIGGER,YOU BERA WACH YOUR SOUL,MAVUMBINI NI KUGUSA TU!!!Ushasema mwanamke ni kiumbe dhaifu san, wala hana makuu. Yeye anaangalia tu ustawi wa familia yake. Na ni kiumbe chenye upendo sana usipomvuruga.
Mbona sukari inapanda mkuu? Huko ulikotokea wala usishindane napo.Mtakufa sana kama kumbikumbi endekezeni hizo kyuma zenu,mnazoona kitega uchumi.
Nature imesema wipi kyuma ni kitega uchumi??!!!
MPAKA SASA WENZENU WAPO MAVUMBINI:WANAUME WA KILEO WAMEVURUGWA NA MAISHA, UKIMLETEA UNGESE ANAKUWAHISHA FUTI SITA!!!
1.BUNJU( KWEKA)
2.KIGAMBONI( MWANAFUNZI KUT)
3.DODOMA( MAHARI 1.5M)
5.MUSOMA( MWANASHERIA)
MTAENDELEA KURESTISHWA IN PEACE KAMA MBU!!!
Kisha nawe unakwenda jela maisha, sasa hapo asiye na akili nani? Tumieni akili (kama mnazo lakini)IF YOU ARE A GOLD DIGGER,YOU BERA WACH YOUR SOUL,MAVUMBINI NI KUGUSA TU!!!
📌GOLD DIGGERS,YOU BERA WACH YOUR SOUL,MAVUMBINI NI KUGUSA!!!Mbona sukari inapanda mkuu? Huko ulikotokea wala usishindanr napo.
Huwa mnajitapa kuwa nyie ni viumbe wenye akili sana na mnatumiansana akili when it comes to marriage. Inakuwaje mnasindwa kutumia akili hiyo hiyo kuishi katika ndoa?
Tumieni akili sasa kama wanawake, hakuna kuacha ushahidi🤣
Utaishije na usichokuwa nacho?Ukitoa kumma na kitimoto kuna watu hawana maisha tena.....😁
Waishi tu kwa akili hamna namna
Kisha nawe unakwenda jela maisha, sasa hapo asiye na akili nani? Tumieni akili (kama mnazo lakini
See you right there, unless tumia akili tu.📌GOLD DIGGERS,YOU BERA WACH YOUR SOUL,MAVUMBINI NI KUGUSA!!!
Ndio kukoswa akili huko.Ukinivuruga tunagawana majengo ya serikali.BORA TUKOSE WOTE.
Ninayo bro simu inaita tu au upo pabayaAcha hizo namba ya unaijua?😂