Wahenga; ishini nao kwa akili!

What happened brotha au kuna mtu ametafuna nauli!
Wewe ni kati ya wanaume wajinga na mazumbukuku ambao ni SIMPS.

WEWE SHIDA YAKO UNAPATA UTELEZI KWA SHIDA SANA KIASI KWAMBA UNAONA NI KITU CHA THAMANI SANA.

KWA TAARIFA YAKO MTOTO YUPO GETTO NA HII THREAD NIMEANDIKA BAADA YA KUICHAPA NIPO HALF TIME.

KIPINDI CHA PILI KINAKUJA LEO MTOTO LAZIMA ASEMA MMMMMAAAAA.

SO KIJANA TAFUTA MADA ZA LEVEL ZAKO, MIMI NIKO ABOVE YOUR LEAGUE!!
 
Hekima na ukomavu wa akili🧠 ya mwanaume unapatikana pale tu, atakapo OA na kuweza kuishi na MKE.

Mwanamke ni kumbe ambae hubadilika mara kwa mara, hivyo basi, yule ambae ataweza kuishi nae katika hali zake zote, huyo ndio anakua ni mtu mwenye hekima katika maamuzi na ni mkomavu kiakili💪 .
Ama wale wanao Sema #KATAA NDOA tunawaambia "ISIPOKUFAA AKILI YAKO UTAKUDHURU UJINGA WAKO"
 
They have nothing to offer!! 😂
 
Pole sana maumivu yakizidi muone daktari
Kwa hakika sindano💉 imepenya vilivyo na mgonjwa ameanza kupata nafuu😄😄😄

📌Mtachukia sana mimi kuwasanua majunior ila hakuna namna mkiweza mkaandamane JF HQ account ipigwe BAN😉
 
Mtakuja na utetezi wa kila namna ila tambua,wewe ni DOORMAT( KIFUTIA MIGUU MLANGONI) hapo nyumbani kwako utatumika kama kweka and the day mwanamke atakapofinalize hesabu yake utakuwa DISMISSED like a toilet paper!!!

Tengeneza theories and blaahblaa kibao ila tambua wewe ni STRANGER HAPO NYUMBANI KWAKO.JICHEKESHE UWEZAVYO BADO UNAONEKANA KINYAGO TU.BE AS GENTLE AS POSSIBLE NO BODY GIVES A F*CK ABOUT YOU!!!

MTEGO ULIOUINGIA UMEKUNASA VIBAYA😄😄😄

📌📌📌A QUICK AND SMALL ADVICE YOUNG MAN. START PLANNING YOUR EXIT DOOR OUT OF THAT MESS!!!
 
KATAA NDOA NI UTAPELI
 
Ni vilio tu kukicha! Hamnaga mambo ya kuwaza nje na wanawake🤣
 
Ukweli unapokita, wanga na wachawi huvurugika😄😄😄

Vumilia ndio utandawazi, kila kitu kitakuwa wazi ni swala la muda.
Napenda mnavyoumiza vichwa na kutoa milio siku nzima ni mmeopoa Phd ya wanawake this wanawake that🤸🏽‍♀️
 
Napenda mnavyoumiza vichwa na kutoa milio siku nzima ni mmeopoa Phd ya wanawake this wanawake that🤸🏽‍♀️
📌Ungekuwa unatengeneza hela muda huu badala ya kulike kila comment ungekuwa wa maana sana, ila kama muda wako upo hapa JF na unaumizwa na hizi nyuzi.

Mtoa mada nitkuwa sahihi sana n messege sent and delivered accordingly.
 
Wewe umetengeneza shingapi kwa kushinda unabold maandishi na kuandika chuki zidi ya wanawake ambao hata huwajui?
 
Kiumbe dhaifu kinawapeleka puta sana.....hamna hata muda wa kuwaza mambo ya msingi, muda wote wanawake hiki wanawake kile wanawake wanawake jamani kwani kumma haizoeleki hivi au kujiendekeza 🤔
Ahhahahah, Shikamoo mkuu. Hatuwezi kuizoea kwa kweli.
 
Wewe umetengeneza shingapi kwa kushinda unabold maandishi na kuandika chuki zidi ya wanawake ambao hata huwajui?
Nina hela za kukulisha wewe kama wewe mpaka unakufa,,,,wewe na ukoo wako wote nina hela za kuwafuga mkala mkanya miaka dahari.
 
Nina hela za kukulisha wewe kama wewe mpaka unakufa,,,,wewe na ukoo wako wote nina hela za kuwafuga mkala mkanya miaka dahari.
Mtu mwenye ela ya kulisha ukoo anaandika kuhusu wanawake kwa uchungu mpaka anaonekana! Hebu nipishe huko na vijisenti vyako mxiew!😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…