Wahenga je hawa ni walimu wako?

Wahenga je hawa ni walimu wako?

Wingawinga

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
623
Reaction score
1,531
Je, hawa walikuwa walimu wako? tutajie majina.

IMG_E3244.JPG
 
Huyo mwenye afro, aliyevaa gauni la maua ua, la kuchanua.......

Tabasamu, mguu, viatu, namna nywele zimekaa, rangi ya mwili, tumbo, matiti, shingo, urefu wa mwili.....

Si yeye ila ana asilimia 98 vinasaba na mtu wangu wa karibu sana ambaye nimepata asilimia 80 ya vinasaba kutoka kwake.

Hii inaitwa jicho la ndani au nje ya boksi aka nje ya mada.

Amu soreee mwenye uzi.
 
Kuna anaye watambua ? nadhani ni walikua walimu wa shule inaitwa Mgulani primary school, miaka ya late 70s na early 80's, anaye jua majina yao .
 
Huyo mweusi mfupi alievaa gudiree Ni Mwalimu wetu wa shule yetu ya msingi ipo Jirani kidogo na soko kuu, anaitwa Mwalimu Madam alikuwa anatuuzia sukari guru na pipi mti....mwaka 1972 mikoroshini primary.
 
Huyo mweusi mfupi alievaa gudiree Ni Mwalimu wetu wa shule yetu ya msingi ipo Jirani kidogo na soko kuu, anaitwa Mwalimu Madam alikuwa anatuuzia sukari guru na pipi mti....mwaka 1972 mikoroshini primary.
Kweli hii picha ni ya miaka ya 70 , lakini mwaka 72 sidhani .
 
Huyo mwenye afro ananikumbusha Mrs Lyimo
Zanaki p/school - Upanga............
Hata mimi huyo mwenye afro ana nikumbusha mrembo Mwalim Ludovic , Upanga Primary school ,mwaka 1984 -, Inawezekana nime sahau jina vizuri au labda alilewa na kuja kuwa Mrs Lymo.
 
Back
Top Bottom